Simon Habonimana
@simonhabonimana1
Dares Salaam
Simon Habonimana Ni Mtumishi wa Mungu • Gospel Artist • Businessman • Football Referee • Founder of MARC MEDIA • Founder of Tocare Organization
Ni kiongozi mwenye maono makubwa, anayegusa jamii kupitia huduma, muziki, biashara, michezo na kazi za kijamii. Amejijengea heshima kwa kuchanganya vipaji mbalimbali kwa nidhamu, hekima na professionalism.
Kama Gospel Artist, ni mwimbaji wa nyimbo za injili anayewasilisha ujumbe wa matumaini, imani na ushindi
Kama Pastor, anahubiri Neno la Mungu kwa ujasiri, wisdom na upendo, akiongoza watu wengi kuelekea maisha ya kiroho yaliyojaa mabadiliko na baraka.
Businessman mwenye mindset ya maendeleo, anayethamini ubunifu, uwekezaji na kujenga opportunities kwa wengine.
Founder & CEO wa MARC MEDIA, kampuni Video Production, Event Coverage, Branding, Photography na Digital Media Solutions.
Vilevile ni Founder wa Tocare Organization, ya kusaidia jamii, kuleta matumaini, kuchochea maendeleo ya kijamii.
Contact / Mawasiliano
+255