Nimeolewa juzi, mie mke nyumbani, lakini nimequiti,
Kaolewa na mwizi, mwizi wa mapenzi, lakini sasa basi,
Nyumba yake empty, hakuna ata kiti, wala hakuna platey,
Kila siku mimi, kulala saa mbili, sasa napiga breaky.
Aeh.
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che. (Eeh)
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che.
Tutakutana wapi, na leo ni weekendi, tukashikishe party, (Ni kukata maji)
Nishatoroka mimi, niko hapa njiani, gari najaza tenki, (Hakuna ku sleki)
Najiskia fiti, kupata nafasi, kulipiza kisasi,
Imepita enzi, bila ata kudensi, natamani ku shaky.
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che. (Eeh)
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che.
Inama, shika wako kamata,
Cheza rhumba, vunja vunja mifupa.
Hayawi imekuwa, leo tunachafua, twajipiga kifua,
Deejay weka ngoma, meza tumechafua, ita waiter fungua,
Agiza kachoma, tukiteremsha, tunararua pia,
Tusakate Rhumba, tuvunje mifupa, eeeeeehh…
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che. (Eeh)
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che.
Inama, shika wako kamata, (Uje naye ulingoni)
Cheza rhumba, vunja vunja mifupa. (Furahia maisha)
Inama, shika wako kamata, (Kata kiuno kata)
Cheza rhumba, vunja vunja mifupa. (Furahia maisha)
Inama, shika wako kamata, (Uje naye ulingoni)
Cheza rhumba, vunja vunja mifupa. (Furahia maisha)
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che.
Che Che, nimepanda cheo,
Aeh Che Che Che, party mpaka che.more