Daniel Gonge
@danielgonge
DAR ES SALAAM
Daniel Gonge alizaliwa Tarehe 6/6/1999 ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, mwenye shauku ya kueneza Injili kupitia sauti na ujumbe wa matumaini. Mbali na kuimba, mimi ni mtayarishaji wa muziki (Producer) na mtunzi wa nyimbo za Injili, nikiwa na lengo la kuinua vipaji na kuleta mabadiliko chanya kupitia muziki wa kiroho. Kila wimbo ninaoandaa una ujumbe maalum, ukiwalenga mioyo inayohitaji faraja, imani, na upendo wa Mungu.